THANKS BROTHERS AND SISTERS TO TAKE YOUR TIME TO BE HERE,THE PLACE OF GOSPEL MUSIC,PRAYERS AND OTHER CHRSTIAN ACTIVITIES.SOMETHING IMPORTANT IS TO LIVE HOLY LIFE AND TO DO THE WILL OF GOD EVERYDAY IN OUR LIFE .ALSO WE MUST REMEBER THAT THE SECOND COMING OF JESUS  CHRIST TO TAKE THE CHURCH IS NEAR,EVERYONE MUST BE CAREFULY  AND WARTCHFUL.ANOTHER THING  WE MUST PREACHE  THE GOSPEL OF CHRST TO THE PEOPLE AROUND THE  WORLD.

1-PARTICIPATE IN PRAYER NETWORK.

2-TELL THE PEOPLE ABOUT THE LOVE OF JESUS TO THEM.

3-SHOW THE WAY OF SALVATION TO THOSE WHO ARE LIVING IN DACKNESS.

Wapendwa  katika Bwana,poleni na kazi za kila siku,natumaini munaendelea vizuri kabisa,hilo ni jambo jema,mwenzenu nimeona wakati tunaendelea na kazi za kila siku niwakumbushe  habari za kurudi kwa Bwana Yesu kwa mara ya pili kuja kulichukua kanisa lake.kwakweli sio jambo geni kwako ndio maana nimekwambia kuwa tunakumbishana,ndugu zanguni kama unabii umekwisha timia,mambo mengi yanaonyesha wazi kwamba Yesu yuko karibu.tujiandae wapendwa,tuwe tayari jamani wakati wowote.

Ivi wewe huoni mambo yanavyoenda?,huoni uovu jinsi ulivyoingia mpaka kanisani?,huoni watu walivyo acha hata kuomba?,huoni maovu yanavyozidi kutendeka?.Je umechukua hatua gani,ndugu yangu nakuomba uwe tayari wakati wowote,kwani wakati ambao hautarajii Yesu ndio atatoke .

Pengine haujaokoka,na umetembelea website hii,nakushauri uokoke,unaweza kuwasiliana nami kupitia email zangu zilizo katika contact us,nitakuongoza sala ya toba,nawe utakuwa umeokoka,na Yesu akirudi utakwenda naye.Hongera kwa kutembelea website hii,ingia ndani zaidi upate mambo mengi zaidi mazuri.ubarikiwe.

    TOP TEN SONGS OF GOSPEL VOICE
    NYIMBO KUMI BORA ZA GOSPEL VOICE 

                                              1-UWEPO WAKO UMENIFUNIKA-FANUEL SEDEKIA. 

                                              2-GOD MADE AMERICA-            RITA BROYLES-- USA
                                             3-YESU NI MUWEZA-                  YUSTO ONESMO
                                             4-HERE  TODAY-                         DANNY  RIDDLE- USA
     
Translate This Page

Contact Us